Channel BannerChannel Banner
8aS9u7uZgr48aS9u7uZgr4

SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 02 | FULL MOVIE

640
Socialcounts.Org
Enter Fullscreen (f)
7
likes
5
comments
daily view 0
monthly view 0

Share

Live Analytics

Comments 0

SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 02 | FULL MOVIE Analytics Table

Income Estimates for SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 02 | FULL MOVIE

Based on this YouTube video's total view count of 640 views and industry-standard rates, the estimated total earning is $0 - $1 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.

About SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 02 | FULL MOVIE

Explore SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 02 | FULL MOVIE with 640 views, 7 likes, and 5 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.

SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 02 | FULL MOVIE SCENE 4 Wakati mama mbwea anakimbia mbele atakutana na kijana ataanguka miguuni mwake kijana aliekua kavaa kanzu na kitambaa kichwan huku akiwa ameshika fimbo mkononi na kavaa pete kidoleni ataomba msaada MAMA MBWEA....Naomba nisaidie nipo kwenye matatizo makubwa sana kaka yangu....huku akiwa kwenye hofu kubwa na uwoga sana KIJANA..... Atamwangalia pale chini bila kusema neno lolote kama dk 3 kisha atanyoosha mkono wake wa kulia ili amuinue pale chini MAMA MBWEA......Atatoa mkono wake huku akiwa kwenye hali ya woga na akitetemeka na kumwangalia yule kijana kwa hofu sana na kuzidi kuogopa zaidi na atamkabidhi mkono wake na kuinuka pale chini KIJANA......Atamwangalia sana usoni yule mama na atasema.....ama kweli kikulacho kinguoni mwako MAMA MBWEA....mbona sikuelew Unamaanisha nini kusema hivo kaka yangu KIJANA....Najua matatizo yako na mbaya wenu anaesababisha haya yote wala hatoki mbali anatoka katika familia yenu MAMA MBWEA......Aatazidi kusisitiza zaidi kwa kutaka msaada....naomba unisaidie kaka yangu maana nateseka sana na hivi ninavokwambia mwanangu amefariki na wakt mwili wake unaoshwa sanda ikayayuka na sio mtu wa kwanza kutokea hvi ktk familia yetu KIJANA.....Haina haja ya kunihadisia nafahamu kila kitu kinachoendelea ndani ya familia yenu MAMA MBWEA.....Sawa kikubwa nahitaji msaada wako kaka yangu KIJANA.......Nifuate....kisha ataongoza njia na mbwea atamfuata anapoelekea yule kijana FED OUT SCENE 5 SCENE inafunguka shangazi anakimbia sana mbaka atatokea nyumbani na atakutana na mjomba huku shangazi anahema sana MJOMBA.....Vipi umepatwa na nini na mbona umerud peke yako wakati mliondoka wawili mwenzako yupo wapi SHANGAZI......Akiwa anahema sana atasema..... wakati tupo njiani kuna sauti kubwa ilisikika ikisema kwamba kama tunayapenda maisha yetu basi turd nyumbani imetutishia kifo MJOMBA..... Mbona nazidi kuchanganyikiwa maana mjomba wangu amefariki na bado hatujamstili mbaka sasa sijui hata tunafanyaje na wanakijiji kila siku wananiuliza tunazika lini nakosa majibu ya kuwapa kutokana na hali inayoendelea mbaka sasa SHANGAZI....Mjomba mm naona hii ishakua kubwa kuliko cha kufanya kwa sasa tujue mama mbwea anarudi vipi nyumbani maana huko alipo sijui atakua kwenye hali gani ndugu yangu naumia sana mjomba.....akiwa analia wakat anasema naumia sana mjomba na atamkumbatia mjomba wake MJOMBA.....Basi usilie hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho kila jambo huwa na mwisho wake hii vita naamini tutaishinda na mama mbwea huko alipo atakua sehemu salama na atarudi nyumbani akiwa mzima wa afya twende ndani ukapumzike akili itulie.....kisha wataondoka ndani FED OUT SCENE 6 Scene inafunguka mama mbwea akiwa na yule kijana watafika mbaka nyumbani kwa yule mtu watakaa chini ya mti na wataanza kuongea KIJANA.....Haya kama nilivokwambia mwanzo kwamba nafahamu shida inayowasumbua ktk familia yenu na nipo tayari kukusaidia ila tu kwa sharti moja MAMA MBWEA.....Sawa mm nakusikiliza nipo tayari kwa sharti lolote lile ilimradi haya matatizo na vifo vya ajabu katika familia yetu visiwepo tena KIJANA..... Vizuri nafrah kusikia hivo kama nilivosema hapo mwanzo kama mtu anayefanya haya yote hatoki mbali ni mtu kutoka ktk familia yenu huyu mtu ni mchawi na anavozidi kuwamaliza ndugu ndipo nguvu zake za kichawi zinazid kuongezeka anakua na uwezo zaidi...na kila akiua huwa anachukua sanda ambayo kavishwa marehemu ile ndo kinga kubwa sana kwake ndo maana anakua halogeki kirahis MAMA MBWEA.....sasa anavyofanya hivi yeye anapata nn zaidi KIJANA....Hakuna anachokipata zaidi ya nguvu zaidi mbaka nmekutoa pale tulipoktna na kukwambia unifate huenda akawa anatuona maana anauwezo mkubwa sana hapa kwangu sio rahis mtu kukuona MAMA MBWEA.....Sawa naomba nisaidie na nimjue huyo mtu KIJANA.....Siwezi kukutajia kwa sasa kwan unamuamini sana haitokua rahisi kumuamin mm ila ntakusaidia na utamjua na kumuona kwa macho yako mwenyewe ili uhamin zaidi ktk hili. **Wahusika wakuu** (kutoka poster): - Kijana mwenye dreadlocks akiwa na shati la bluu - Mwanamke mwenye hijabu nyeupe - Mwanamume mwenye kofia ya kichwani na shati la mistari - Mwanamume mwenye misuli mwenye shati yenye muundo wa kijivu/nyeupe anayeshikilia fimbo/fimbo - Mwanamke mwenye hijabu ya kahawia **Crew muhimu**: - Producer: Raniyah Films - Ex-Producer / Story: Bob Meja - Director of Photography, Camera Man, Editor, Final Touch: Uchebe The Don - Production Manager: Raniyah Family - Casting Designer: Machupi - Location: Mitobijo (Tanzania) Ni production ya chini hadi ya kati inayolenga YouTube, yenye mtindo wa Bongo Movies wa kisasa – mchanganyiko wa drama, suspense, na elements za kutisha (horror/thriller). #SandaYaMarehemu #RaniyahFilms #BongoMovie #SwahiliMovie #HorrorTanzania #UchebeTheDon #NewSeries #Episode01 #FilamuZaKiswahili #AfricanHorror

About YouTube Real-Time View Count

With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.

Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.

Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.

Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.

Embed Widget

Parameters:

  • fullscreen=true - Fullscreen counter
  • graph=true - Live graph chart
  • counter=0/1/2 - Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL

Click to copy the embed URL to your clipboard