Live Analytics
Comments 0
NDEGE YA ABIRIA YAPATA DHARURA KIA Analytics Table
Income Estimates for NDEGE YA ABIRIA YAPATA DHARURA KIA
Based on this YouTube video's total view count of 33.1K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $23 - $66 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.
About NDEGE YA ABIRIA YAPATA DHARURA KIA
Explore NDEGE YA ABIRIA YAPATA DHARURA KIA with 33,170 views, 21 likes, and 4 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.
Ndege ya abiria aina ya Embraer 125 yenye usajili wa 5H-HLL imepata dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), leo Jumapili, Oktoba 4, 2026. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), tukio hilo limetokea majira ya saa 11:50 asubuhi, baada ya ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Serengeti kuelekea Zanzibar kupata hitilafu katika mfumo wa magurudumu wakati ikitua KIA. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 26 na wahudumu wanne. TAA imesema hakuna vifo wala majeruhi vilivyoripotiwa kutokana na tukio hilo. Kutokana na tukio hilo, shughuli za kuruka na kutua kwa ndege zilisitishwa kwa muda ili kuwezesha hatua za dharura za kuiondoa ndege hiyo kwenye barabara ya kuruka na kutua, pamoja na ukaguzi wa usalama wa kiwanja. Shughuli hizo zilirejea saa 16:20 alasiri baada ya ndege hiyo kuondolewa na ukaguzi kukamilika. TAA imesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na taarifa zaidi kuhusu matokeo yake zitatolewa rasmi baada ya kukamilika kwa uchunguzi. Mamlaka pia imewapongeza abiria, mashirika ya ndege na wadau wote kwa uvumilivu na ushirikiano wao.
About YouTube Real-Time View Count
With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.
Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.
Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.
Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.
Embed Widget
Parameters:
fullscreen=true- Fullscreen countergraph=true- Live graph chartcounter=0/1/2- Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL
Click to copy the embed URL to your clipboard

