738
likes
143
comments
daily view 0
monthly view 0

Share

Live Analytics

Comments 0

Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 Analytics Table

Income Estimates for Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Based on this YouTube video's total view count of 55.1K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $39 - $110 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.

About Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Explore Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 with 55,185 views, 738 likes, and 143 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 NYOTA YAKO Khalid Mouhamed Tidy aka TID ni familia kwangu, mimi na yeye tunafahamiana zamani sana na ukabila wa Mama zetu pengine ndo ulitufanya tuwe karibu kwa kiasi hicho. Tulikua na marafiki wanaofahamiana. Sote tulikua tunaanza kazi na utafutaji tukiwa pamoja na pengine kiu na ubora wa kazi zetu ulitufanya kipindi flani twende kwenye njia tofauti. Ila kina mmoja alikua anashinda mechi zake kwenye ligi yake na kutawazwa kuwa bingwa wa mashindano kadha wa kadha. Nadhani yeye kuwa STAR mkubwa hapa Afrika ya Mashariki kulitokana na kujielewa kwake na kuwa mvumilivu wa mambo kwa kipindi kirefu. Usikuambie yoyote kwamba TID alikua star kwa usiku mmoja au, yaani alilala na kuamka then boom, hapana. Ilibidi afanye kazi nyingi, na watu wengi na kwenye hizo kazi ndo alikutana na Boss ambaye aliona kipaji chake na akamuunganisha na mtu sahihi. Baada ya hapo kazi ikafanyika na mengine yakafuata. Alikua mkubwa kiasi gani lakini? Alipitia mitihani gani? Na kipi anajivunia sana kwenye fani yake? Yepi majuto yake? Lowest moment kwenye maisha yake ilikua ipi? Kama huwa anapata mawazo ya kutaka siku zirudi nyuma na pengine angefanya vitu kwa utofauti? Kina nani na nani wanamaanisha nini katika maisha yake? Muziki wa nyumbani umemfanyia nini kwenye maisha yake? Wapi alisoma? Elimu yake ni ya kiwango gani? Ukaribu wake na Mama yake? Maisha ya sasa? Misukosuko aliyopitia miaka mitatu iliyopita ambayo ilimfanya aingie matatani na vyombo vya dola na mambo mengine mengi tuliyazungumzia humu. TID ana Kaka zake ambao wako naye karibu sana. Hilo nalo tuliligusia humu. Suala la yeye kuwa trend setter na mwisho wa siku hana faida anayopata kwa miaka mingi na nini hilo humfundisha pia hatukuliacha nyuma. Haya yalikua maongezi ya mtu na rafiki yake wa siku nyingi, humu pia nilitaka kujua kuhusu well being yake na mipango ya sasa ikiwa ni pamoja na TV show yake ambayo inamfanya awe busy na kumpa yeye nafasi ya kuwa na mashabiki wake kwa karibu zaidi. Tidy ni mcheshi, na mwenye kujielewa. Hatukuacha pia kuongelea mahusiano yake na Marehemu Albert Mangwea na maswali yaliyokua yamegubika juu ya chanzo cha kifo chake na pia yeye kama Rafiki na star, nini alijifunza. Yangu matumaini uta enjoy, utacheka na kuelewa baadhi ya mambo ambayo ulikua unajiuliza au pengine ulikua hujui kutoka kwa mmoja wa wasanii wa Bongo Flavour ambaye amesaidia kwa kiasi kikubwa kuutambulisha mziki wetu KIMATAIFA. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali https://www.youtube.com/watch?v=Cue1HB4fnLQ Follow: Twitter: http://twitter.com/YahStoneTown Instagram: http://Instagram.com/YahStoneTown Facebook: http://facebook.com/YahStoneTown Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

About YouTube Real-Time View Count

With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.

Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.

Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.

Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.

Embed Widget

Parameters:

  • fullscreen=true - Fullscreen counter
  • graph=true - Live graph chart
  • counter=0/1/2 - Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL

Click to copy the embed URL to your clipboard