Live Analytics
Comments 0
Achillian - Kifo (Official Audio) Analytics Table
Income Estimates for Achillian - Kifo (Official Audio)
Based on this YouTube video's total view count of 9.97K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $7 - $20 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.
About Achillian - Kifo (Official Audio)
Explore Achillian - Kifo (Official Audio) with 9,969 views, 276 likes, and 40 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.
KIFO LYRICS. Uh wow... wow! Mmh... yeah iyeah... Wow wow... (Seje music) Yeah! Yanini vya dunia nijivunie Na wakati kesho sijaijua Na hata ningejua... Kwa nini mpitaji nijisifie? Na Mungu pekee ndo anaegawa Pia anatwaaa Kifo nini nikupatie? Ili utulie Naomba uniapiye kua wabaya ndo watangulie Leo natamani nikuambie Dunia isikie Umenifanya nilie, Nitumie, nijutie... VIZURI HAVIDUMU 3× Wanaondoka watu muhimu VIZURI HAVIDUMU 3× (Kweli) Naogopa kutenda mema japo ni ngumu Nyele zinanisisimuka Mwili baridi... Moyo unastuka.... Najitaidi Nikiwakumbuka uliowabeba kigaidi Nalia kama mtoto Hali yangu imebadikika Hofu zaidi, nimejawa mashaka Najitaidi... Nani atae nizika? Bora wangerudi.... naona maisha ni ndoto Dunia umenifunzaka nidanganye Mahana wakweki hawaaminiki Imenifunza nilumbane mana wapole hawaheshimiki Imenifunza kisipane Mahana wenye moyo wanafariki Imenifunza niwe mbaya Mahana wenye wema hawabaki Umekubwa na mungu ?(Umekubwa na Mungu...) Au walimwengu? (Au walimwengu..) Najiuliza mengi wangebaki wengine Uende wee. 2× Vita vingi tunapigana na watu ambao tusio wajua Tunaposhindwa hao ufurai sana Furaha Yao si' kukosewa Kumbe marafiki chunga nao sana Maadui ukitaka kuwajua Kifo Ningekuona naapa ningekuuwa VIZURI HAVIDUMU 3× (kweli...) Ulazwe pema Mariam VIZURI HAVIDUMU 3× (kweli..) Ulale mahali pema mamuya wangu Hahahha.....! Wengi ujiuliza, hivi kifo ninani? Bila kujua kwamba kifo ndo ule fariki ambae Hata sekunde HAJAWAI kituacha Japo anatupumbaza kwamba dunia ni yetu Tunakufa Siku zote, tunaishi Siku moja. Mungu awalaze mahali pema wote walio tutangulia Ni njia yetu sote. Seje record
About YouTube Real-Time View Count
With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.
Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.
Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.
Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.
Embed Widget
Parameters:
fullscreen=true- Fullscreen countergraph=true- Live graph chartcounter=0/1/2- Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL
Click to copy the embed URL to your clipboard

