126
likes
34
comments
daily view 0
monthly view 0

Share

Live Analytics

Comments 0

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI |KUKU AINA YA KUCHI|TUNAUZA KUKU KUCHI ORIGINO| Analytics Table

Income Estimates for UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI |KUKU AINA YA KUCHI|TUNAUZA KUKU KUCHI ORIGINO|

Based on this YouTube video's total view count of 29.6K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $21 - $59 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.

About UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI |KUKU AINA YA KUCHI|TUNAUZA KUKU KUCHI ORIGINO|

Explore UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI |KUKU AINA YA KUCHI|TUNAUZA KUKU KUCHI ORIGINO| with 29,671 views, 126 likes, and 34 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.

JE!? NI KWELI KUKU KUCHI WANATUMIKA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA!?? KUCHI MMOJA SH.600,000/= KUKU AINA YA KUCHI Kuku aina ya KUCHI, ni wale ambao wanawauza kwa shilingi 200,000 hadi zaidi kwa kuku mmoja. Pamoja na kuwa kuku hawa wanaonekana kama wa kawaida, lakini si kama kuku wale tunaowafahamu; mbegu (breed) aina hii ya kuku huwa ni nadra sana kupatikana katika soko. Ni kuku wakubwa kwa umbo, warefu na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Kuchi wana manyoya machache mwilini hasa kifuani, wana mdomo mfupi na panga/vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa kilo 3.5 na mitetea kilo 2. Mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gramu 45. Kuku hawa wanapatikana kwa wingi maeneo ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na Zanzibar. Kuku hawa ni wazuri kwa nyama. Kutokana na ongezeko la maswali ya wadau wengi juu ya ufugaji wa kuku aina hii, tumeonelea ni vema tukauweka mjadala huu vema kuweza kuwasaidia wafugaji na wanunuaji wa vifaranga/kuku wa aina hii. Kuku aina ya KUCHI, ni wale ambao wanawauza kwa shilingi 200,000 hadi zaidi kwa kuku mmoja. Pamoja na kuwa kuku hawa wanaonekana kama wa kawaida, lakini si kama kuku wale tunaowafahamu; mbegu (breed) aina hii ya kuku huwa ni nadra sana kupatikana katika soko. Ni kuku wakubwa kwa umbo, warefu na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Kuchi wana manyoya machache mwilini hasa kifuani, wana mdomo mfupi na panga/vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa kilo 3.5 na mitetea kilo 2. Mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gramu 45. Kuku hawa wanapatikana kwa wingi maeneo ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na Zanzibar. Kuku hawa ni wazuri kwa nyama. Preview Ufugaji wa kuku aina ya kuchi.KUKU KUCHI NI KUKU wa AJABU KUKU AINA YA KUCHI.UFUGAJI KUKU WA KINYEJI JE, UNAFAHAMU NI KWANINI KUKU AINA YA KUCHI ... Kuku kuchi ambaye huuzwa bei ya juu KUKU AINA YA KUCHI - Mshindo Veterinary Centre KUCHI KUKU MREFU NA MWENYE UMBO KUBWA ZAIDI ... Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ... TUNAUZA VIFARANGA NA KUKU WA WAKUBWA AINA YA ... #mkulimasmart #shambadarasa mama kuchi enterprises - Instagram Taarifa zote kuhusu Kuku jamii ya kuchi na ujasiriamali Mfahamu kuku aina ya kuchi - jifunze ujasiriamali UBORESHAJI WA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI wauzaji wa kuku kuchi kuku kuchi morogoro asili ya kuku kuchi vifaranga vya kuchi soko la kuchi kuku kuchi zanzibar kuku aina ya sasso kuchi jogoo

About YouTube Real-Time View Count

With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.

Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.

Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.

Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.

Embed Widget

Parameters:

  • fullscreen=true - Fullscreen counter
  • graph=true - Live graph chart
  • counter=0/1/2 - Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL

Click to copy the embed URL to your clipboard