Live Analytics
Comments 0
MAFUA: Kujitibu mwenyewe nyumbani Analytics Table
Income Estimates for MAFUA: Kujitibu mwenyewe nyumbani
Based on this YouTube video's total view count of 18.5K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $13 - $37 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.
About MAFUA: Kujitibu mwenyewe nyumbani
Explore MAFUA: Kujitibu mwenyewe nyumbani with 18,559 views, 112 likes, and 12 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.
#DrMniko Mafua ndio ugonjwa unaosababisha watu wengi zaidi kwenda hospitalini pasipo na sababu ya msingi kuliko ugonjwa mwingine wowote. Mafua yanasababishwa na virusi, kwa hiyo dawa za antibiotiki haziwezi kusaidia. Hii inamaanisha wewe mwenyewe unaweza kujitibu vizuri zaidi kuliko hata daktari. Kuna dawa kwenye maduka ya dawa baridi amabzo unaweza kuzinunua â dawa za kuzibua mapua, kupunguza maumivu, kupunguza mwasho â dawa hizi zote zitakusaidia kupunguza dalili ulizonazo ukisubiri mwili wako upone. Kwa mtoto mdogo ambaye amepatwa na mafua, anahitaji kuonana na daktari. Kutokwa na kamasi puani ni moja ya ishara kwamba mwili wako unapambana kuondoa virusi. Kupiga chafya ni njia ya mwili kutoa vimelea na dutu nyingine zinazoukinaisha mwili. Kwa bahati mbaya ni kwamba unapopiga chafya, ni rahisi zaidi kuambukiza wengine. Kwa hiyo, ziba mdomo na pua kwa tissue au kitambaa unapopiga chafya. Nawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni unapokuwa na mafua. Mara nyingi ni rahisi kusambaza mafua kwa kushika kitasa au rimoti na kisha mtu mwingine akaishika. Kwa sababu kamasi zinachuruzika nyuma ya koo lako, inaweza kusababisha ukawa unapata maumivu wakati wa kumeza na hata kuanza kukohoa. Kwa baadhi ya watu, kamasi hizi zinazochuruzika sehemu ya nyuma ya koo zinaweza kuziba mchirizi unaoelekea kwenye sikio unaoitwa âestachian tubeâ na kusababisha maambukizi na maumivu ya sikio. Hali hii unapoiona, unapswa kumwona daktari akuhudumie Mambo ya kufanya ukiwa nyumbani kama una mafua Unaweza kutumia dawa kama âacetaminophen, aspirin, ibu profen, or naproxenâ ili kupunguza homa na maumivu ya mwili yanayoletwa na mafua. Mara nyingi dalili hizi zinakuwa mbaya zaidi mchana na jioni, kwa hiyo tumia dawa hizi vizuri kwa wakati huu. Usimpatie mtoto dawa ya Asprin, mpatie Acetaminophen inafaa zaidi. Kuna aina mbili ya dawa za mafua ambazo watu wanatumia: ⢠Decongenstants â hizi husaidia kupanua sehemu ya ndani ya mapua ili uweze kupumua vizuri ⢠Antihistamines â hizi zinasaidia klupunguza makamasi yanayotengenezwa kwenye pua Unaweza kuepusha gharama kwa kuchagua dawa inayokufaa wewe kulingana na dalili zako Kunywa maji ya kutosha. Mwili wako unahitaji maji ya kutosha unapokuwa na homa. Maji yanasababisha makamasi kuwa mepesi na hivyo kuzuia matatizo mengine yanayoweza kutokea kama kuanza kukohoa au maambuzi ya sikio. Kama unaona hali sio swari. Unaweza kujifukiza. Weka maji ya moto kwenye bakuli, chukua kitambaa jifunike kichwani huku umeegemea juu ya bakuli hilo. Vuta mvuke. Utasaidia pua zako kufungua. Kupuliza pua kunasaidia kuondoa kamasi, virusi na hata dutu nyingine zinazosumbua pua. Kuvuta kamasi kwenda ndani kunaongeza uwezekanao wa wewe kupata matatizo mengine kama kukohoa au maambukizi ya sikio. Kama dalili zitaendelea baada ya wiki 2, ni vizuri kumwona daktari https://wikielimu.org/
About YouTube Real-Time View Count
With SocialCounts.orgâs view counter, track your YouTube videoâs live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.
Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views trackerâbuilt for accuracy and minimal delay.
Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.
Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.orgâs smart tracking tools.
Embed Widget
Parameters:
fullscreen=true- Fullscreen countergraph=true- Live graph chartcounter=0/1/2- Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL
Click to copy the embed URL to your clipboard

