537
likes
88
comments
daily view 0
monthly view 0

Share

Live Analytics

Comments 0

Mpangilio wa Chakula cha wanga ili uweze kupungua uzito,Tumbo na Kudhibiti maradhi kama Kisukari Analytics Table

Income Estimates for Mpangilio wa Chakula cha wanga ili uweze kupungua uzito,Tumbo na Kudhibiti maradhi kama Kisukari

Based on this YouTube video's total view count of 71.6K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $50 - $143 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.

About Mpangilio wa Chakula cha wanga ili uweze kupungua uzito,Tumbo na Kudhibiti maradhi kama Kisukari

Explore Mpangilio wa Chakula cha wanga ili uweze kupungua uzito,Tumbo na Kudhibiti maradhi kama Kisukari with 71,662 views, 537 likes, and 88 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.

SAYANSI YA VYAKULA & MCHANGANUO WAKE Mchanganuo wa Kimuundo wa Chakula au Kiini lishe cha Mwili; Hapana tunapata 1. Wanga 2. Protini 3. Mafuta 4. Vitamin 5. Madini Mchanganuo kwa kuzingatia kazi inayo fanywa na aina hio ya Chakula 1. Vyakula Vinavyo Upa mwili nguvu na Joto gram ya wanga kalori 4 na mafuta kalori 9 2. Vyakula Vinavyojenga Mwili 3. Vyakula vinavyo Ongeza Kinga ya mwili na ku boost shughuli za mwili 4. Vyakula vinavyo Ondoa Mwili kwenye msongo wa sumu Ant Oxidants and ant Inflammatory foods kama Mboga za majani na Matunda Vyakula Vyenye Wanga na sukari Nyingi (High Glycemic Foods) 1. Vyakula Vyote vya Ngano 2. Vyakula vyote vya Nafaka 3. Ndizi za Kupika 4. Matunda Yenye sukari nyingi 5. Viazi na Magimbi 6. Soda na Juisi za viwandani 7. Juisi ya Kukamua matunda bila Kuongeza Sukari Vyakula vyenye Sukari na wanga Kidogo 1. Mboga za majani aina zote. Ingawaje baadhi zina wanga kidogo nyingi kama Maboga, Karoti, beet root 2. Matunda yenye sukari kidogo kama Parachichi, Matango, Zabibu na strobery 3. Korosho 4. Almonds 5. Pistachio 6. Walnuts 7. Mbegu za Maboga 8. Brazilian nuts 9. Chia seeds Wanga Nzuri na Wanga Mbaya Tunaipima kwa kutumia GLYCEMIC INDEX ya Chakula Husika. Na sio “Dona na Sembe” Imekobolewa au haijakobolewa. Kigezo kinakuwa kigumu zaidi ili upate machaguo mazuri zaidi kwa uzito wako. Aina za Sukari na Sayansi Yake Kiufupi 1. Glucose 2. Fructose 3. Galactose Utofauti wake na Jinsi mwili unavyo zitumia sukari hizo. Kiwango SAHIHI CHA SUKARI MWILINI KWENYE LITA 5-7 za damu Maswali Yanayo Ulizwa sana 1. Dokta kwa nini Dona sio nzuri Katika Sayansi Ya Mapishi? 2. Kwa nini Juisi nachuro uitizame sawa na Juisi za viwandani wakati hii sijjaongeza hata sukari? 3. Nitapataje Choo laini kama Nikiacha kunywa juisi ya Papai, Ndizi Embe na Tikiti vilikuwa vinanisaidia. 4. Nitapataje Nguvu wakati mimi kazi zangu ni nzito Soma Kitabu chetu cha Mwongozo wa Lishe SAYANSI YA MAPISHI kitakusaidia sana kukupa mwongozo hatua kwa hatua

About YouTube Real-Time View Count

With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.

Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.

Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.

Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.

Embed Widget

Parameters:

  • fullscreen=true - Fullscreen counter
  • graph=true - Live graph chart
  • counter=0/1/2 - Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL

Click to copy the embed URL to your clipboard