241
likes
36
comments
daily view 0
monthly view 0
Live Analytics
Comments 0
SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 01 | FULL MOVIE Analytics Table
Income Estimates for SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 01 | FULL MOVIE
Based on this YouTube video's total view count of 2.71K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $2 - $5 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.
About SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 01 | FULL MOVIE
Explore SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 01 | FULL MOVIE with 2,714 views, 241 likes, and 36 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.
SANDA YA MAREHEMU | EPISODE 01 | FULL MOVIE Scene inafunguka katika kijiji cha kidoti anko Mbaruku akiwa katika chumba akiosha mwili wa marehemu ktk kitanda cha kamba ambaye ni mtoto wa dada yake anaeitwa mbwea ANKO.....Akiwa anaendelea kuosha mwili wa marehemu huku ukiwa umevishwa sanda wakati anainama kwa mara ya tatu chini achote maji kwenye kikombe amwagie mwili wa marehemu ndipo sanda itayayuka na mjomba atashtuka sana na kuita ndugu waliopo pale ili washuhudie kilichotokea Muongozo.....ndugu walipoingia ndani MJOMBA...... Jamani ndugu zangu nm ewaita ndani mje mjionee wenyewe wakati naosha mwili wa marehemu nmeshudia kwa macho yangu sanda tuliomvisha imeyayuka yan nmeshtk sana na nmezidi kuchanganyikiwa SHANGAZI......Hii mbona kali kila msiba unaotokea katika familia yetu huwa haukosi vibweka hii sasa maiti ya tatu sanda inapotea na hatujui inaenda wapi jaman tuambiane ukweli kama kuna mtu yoyote anaejua ukweli kuhusu hili BIBI.....kuna mengine haina haja ya kuyafatilia sana kutaka kujua undani wake tufanye linalowezekana sasa hvi mwili ukastiliwe MAMA WA MAREHEMU...... hapana hii haiwezekani hata kidogo mbaka nijue ukweli wote kuhusu hili hapa kuna mchezo unaendelea nahisi mtu anaetufanyia huu mchezo anatufaham vzr sana na hatoki mbali MJOMBA....Sawa ndugu zangu nmewalew haina haja ya kulumbana muda huu cha msingi tujue tunafanyaj kwa huu muda SHANGAZI.....Sawa nimekuelewa basi tukamilishe taratibu MAMA MAREHEMU..... Taratibu gani mimi sioni kama kuna taratibu yoyote zaidi ya watu kutuchezea akili zetu sitokaa kupuuzia ktk hili hata kidogo mbaka nijue hatima yake BIBI......Wee mtoto koma tena koma usitake kujua vya ndani wakati umri wako bado mdogo sana sasa ukitka kulazimisha kuvijua vitakuja kukutokea puani.......atamwangalia kwa kumkazia sana macho kisha atatoka nnje ataondoka akiwa na hasira sana MUONGOZO....... Wakati bibi katoka nnje waliopo ndani wataangaliana sana na kuilizana kwahyo tunafanyaj kuhusu hili MAMA WA MAREHEMU.....Atasema tusizike mbaka tupate muhafaka juu ya hili nitaenda kwa mganga wa kijiji ili nijue shida nini na nan anaesababisha haya yote liwalo na liwe maana tutazidi kuisha kila siku na ushirikina utaendelea kutumaliza ntahakikisha napata majibu leo hii hii natoka hapa naelekea kwa mganga wa kijiji MUONGOZO.....Watamuunga mkono kisha mjomba atastili mwili vzr watatoka nnje FED OUT SCENE 2 Scene hii inafunguka kipindi bibi yake na mama mbwea akirudi nyumbani akiwa anahasira sana atafika katikati ya msitu ataangaza kushoto na kulia kisha hatoona mtu yoyote atasema BIBI......Yaan naona sasa washaanza kuingilia mambo yangu huyu mama yake na mbwea kuna analolitafuta sasa basi nitamuoneesha hua mm sishindwi na jambo langu kama nkiamua kulifanya.....kisha ataangaza kushoto na kulia na atayayuka FED OUT SCENE 3 Njiani anaonekan mama yake na mbwea pamoja na shangazi wakielekea kwa mganga walipofika njian karbu na mbuyu watasikia sauti ikiambatana na ngurumo nzito na miale ya radi wataogopa sana na sauti itasikika ikisema SAUTI..... Hahahahaa hahahahah itacheka sana kisha itasema hayo mnayotaka kufanya yatakuja kuwa garimu zaidi ktk maisha yenu kama mnapenda uhai wenu basi rudini mlipotoka..kisha sauti itapotea na wale watu watakimbia sana FED OUT SANDA YA MAREHEMU (Episode 01)** **SANDA YA MAREHEMU** ni mfululizo mpya wa Bongo Movie/Swahili series (New Series) kutoka **Raniyah Films Productions**. Ni sehemu ya kwanza (Episode 01) yenye mtindo wa horror/supernatural drama yenye hisia kali za kutisha na fumbo. Jina “Sanda ya Marehemu” linatafsiriwa kama **“Sanda ya Marehemu”** au **“Shroud/Burial Cloth of the Deceased”**. Poster inaonyesha sanduku la maiti (coffin) lenye msalaba, rangi ya damu kwenye jina, na wahusika wenye nyuso kali na za wasiwasi – ishara ya hadithi inayohusisha kifo, sanda, na labda roho, laana, au siri za familia zinazohusiana na marehemu. **Wahusika wakuu** (kutoka poster): - Kijana mwenye dreadlocks akiwa na shati la bluu - Mwanamke mwenye hijabu nyeupe - Mwanamume mwenye kofia ya kichwani na shati la mistari - Mwanamume mwenye misuli mwenye shati yenye muundo wa kijivu/nyeupe anayeshikilia fimbo/fimbo - Mwanamke mwenye hijabu ya kahawia **Crew muhimu**: - Producer: Raniyah Films - Ex-Producer / Story: Bob Meja - Director of Photography, Camera Man, Editor, Final Touch: Uchebe The Don - Production Manager: Raniyah Family - Casting Designer: Machupi - Location: Mitobijo (Tanzania) Ni production ya chini hadi ya kati inayolenga YouTube, yenye mtindo wa Bongo Movies wa kisasa – mchanganyiko wa drama, suspense, na elements za kutisha (horror/thriller). #SandaYaMarehemu #RaniyahFilms #BongoMovie #SwahiliMovie #HorrorTanzania #UchebeTheDon #NewSeries #Episode01 #FilamuZaKiswahili #AfricanHorror
About YouTube Real-Time View Count
With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.
Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.
Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.
Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.
Embed Widget
Parameters:
fullscreen=true- Fullscreen countergraph=true- Live graph chartcounter=0/1/2- Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL
Click to copy the embed URL to your clipboard

