365
likes
127
comments
daily view 0
monthly view 0

Share

Live Analytics

Comments 0

Tanzania: Simulizi za maumivu na kutafuta haki baada ya uchaguzi 2025 Analytics Table

Income Estimates for Tanzania: Simulizi za maumivu na kutafuta haki baada ya uchaguzi 2025

Based on this YouTube video's total view count of 52.9K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $37 - $106 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.

About Tanzania: Simulizi za maumivu na kutafuta haki baada ya uchaguzi 2025

Explore Tanzania: Simulizi za maumivu na kutafuta haki baada ya uchaguzi 2025 with 52,941 views, 365 likes, and 127 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.

Mwaka mmoja baada ya maandamano na ghasia kubwa zilizofuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, familia zinaendelea kuomboleza wapendwa wao waliouawa katika machafuko hayo, huku manusura wengine wakiishi na majeraha yaliyobadilisha maisha yao ikiwa ni pamoja na kushindwa kujigharamia matibabu. Ripoti mpya ya Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imeishutumu serikali kwa kushindwa kuwawajibisha waliohusika na vifo vya waandamanaji jambo ambalo serikali ya Tanzania imekua ikikanusha. Mamlaka nchini Tanzania hazikujibu ombi la BBC la kuhusu madai hayo. Mwandishi wetu Alfred Lasteck amezungumza na familia ambazo bado zinatafuta haki na majibu kuhusu wapendwa wao waliopotea Chapters 00:00 - 00:30 Mwaka mmoja baada ya matukio ya Uchaguzi 00:30 - 01:15 Familia zinatafuta majibu 01:15 - 02:20 Mama amlilia binti yake 02:20 - 2:44 Mwaka mmoja baadaye 02:44 - 3:43 Muathiriwa aliyenusurika kuuawa 03:44 - 04:50 Familia ilivyompoteza baba wa familia 04:51 - 5:45 Familia inahoji mwili wa ndugu yao upo wapo? 5:56 - 6:15 kukarabatiwa kwa miundombinu iliyoharibiwa 06:16 - 07:09 Serikali ikubali makosa? 07:10 - 07:30 Nani anawajibika na vifo? 07: 57 - 08:24 Familia zinasema bado zinamaumivu #bbcswahili #oktoba29 #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

About YouTube Real-Time View Count

With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.

Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.

Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.

Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.

Embed Widget

Parameters:

  • fullscreen=true - Fullscreen counter
  • graph=true - Live graph chart
  • counter=0/1/2 - Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL

Click to copy the embed URL to your clipboard