Channel BannerChannel Banner
vxeI8rISDLQvxeI8rISDLQ

NYOKA AKUTWA KWENYE NDEGE, SAFARI YAFUTWA

142,140
Socialcounts.OrgEnter Fullscreen (f)
554
likes
47
comments
daily view 0
monthly view 0

Share

Live Analytics

Comments 0

NYOKA AKUTWA KWENYE NDEGE, SAFARI YAFUTWA Analytics Table

Income Estimates for NYOKA AKUTWA KWENYE NDEGE, SAFARI YAFUTWA

Based on this YouTube video's total view count of 142K views and industry-standard rates, the estimated total earning is $99 - $284 through ad revenue. Historical data is not yet available to calculate daily, weekly, or monthly averages.

About NYOKA AKUTWA KWENYE NDEGE, SAFARI YAFUTWA

Explore NYOKA AKUTWA KWENYE NDEGE, SAFARI YAFUTWA with 142,140 views, 554 likes, and 47 comments. Experience the impact of this video content that has captured audience attention.

Ndege Nchini Japan imelazimika kufuta safari yake baada ya nyoka mwenye urefu wa sentimita 40 kugunduliwa amejificha chini ya zulia ndani ya chombo hicho cha usafiri katika Uwanja wa Ndege wa Fukuoka. Kwa mujibu wa Kyodo News, nyoka huvo aligunduliwa na Fundi wa Ndege inavohudumiwa na Japan Air Commuter, kampuni iliyo chini ya Japan Airlines, Ndege hiyo ilikuwa imepangwa kuelekea Mkoa wa Kagoshima, lakini safari ilifutwa kwa tahadhari za kiusalama. Nyoka huvo ambave hakuwa na sumu alikamatwa takribani saa 24 baada ya kugunduliwa, kwa msaada wa Mtaalamu wa kudhibiti wanvamapori, Uongozi wa kampuni hiyo ulieleza kuwa huenda nyoka huyo aliingia ndani ya Ndege kutoka mazingira ya asili, huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha tukio hilo. Hata hivyo, si mara ya kwanza kwa nyoka kupatikana ndani va Ndege, kwani mwaka 2019 Kijana mwenye umri wa miaka 20 Nchini Marekani aligundua nyoka mweusi mwenye urefu wa sentimita 30 ndani ya begi lake.

About YouTube Real-Time View Count

With SocialCounts.org’s view counter, track your YouTube video’s live view count and YouTube likes count in real time with fast, reliable updates.

Watch every YouTube video live view count rise with our real-time YouTube views tracker—built for accuracy and minimal delay.

Follow YouTube real time views as they happen, using our dedicated view counter for YouTube videos.

Get up-to-date live view count on YouTube and see real-time growth with SocialCounts.org’s smart tracking tools.

Embed Widget

Parameters:

  • fullscreen=true - Fullscreen counter
  • graph=true - Live graph chart
  • counter=0/1/2 - Select counter (0=likes, 1=views, 2=comments)
URL

Click to copy the embed URL to your clipboard